Mzee asiyeweza kufunga sasa wala huko mbele

Swali: Afanye nini ambaye ni mzee na hawezi kufunga?

Jibu: Ikiwa hawezi kufunga, si wakati wa sasa wala katika mustakabali – hiyo ni amana kati yake yeye na Allaah – basi anatakiwa kulisha chakula 1,5 kg kwa kila siku moja ambayo atakula.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Swifaat-il-Mu´miniyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/s_0.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2022