Mwongozo wa Mtume anapokosa swalah ya usiku

263 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu Hadiyth ya ´Aaishah:

“Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anapokosa swalah ya usiku kwa sababu ya ugonjwa au jambo jingine, basi huswali mchana Rak´ah kumi na mbili.”

Je, hiyo ni kabla ya kupinduka kwa jua?

Jibu: Kabla ya kupinduka kwa jua na baada yake pia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 98
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´