Mwizi ambaye amerudia wizi wake, mara ya kwanza hukatwa mkono wa kulia, mara ya pili hukatwa mguu wa kushoto, kisha baada ya hapo hufungwa jela kwa mujibu wa maoni sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 208
  • Imechapishwa: 11/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´