Swali: Mwanaume ana watoto wengi, lakini mke wake ameshindwa kulea zaidi ya hao. Hivyo amelazimika kusimama katika mpaka huu. Je, mnaninasihi nimwingilie mke wangu bila kutumia sababu zinazozuia mimba au nitumie sababu hizo?
Jibu: Ni kama ilivyotangulia, kama ulivyosikia. Ikiwa kuna sababu ya Kishari´ah na haja ya Kishari´ah – nayo ni kushindwa kwake kulea na kutekeleza yanayolazimika kwa upande wa watoto kwa sababu ya wingi wao na mimba za kufuatana – basi hapana vibaya kuwepo kipindi kati yao, kama mwaka mmoja kwa mfano, mpaka apate nguvu ya kulea. Mwisho wake ni miaka miwili kipindi cha kunyonyesha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2192/استخدام-ما-يمنع-الحمل-لكثرة-الاولاد
- Imechapishwa: 31/05/2026
Swali: Mwanaume ana watoto wengi, lakini mke wake ameshindwa kulea zaidi ya hao. Hivyo amelazimika kusimama katika mpaka huu. Je, mnaninasihi nimwingilie mke wangu bila kutumia sababu zinazozuia mimba au nitumie sababu hizo?
Jibu: Ni kama ilivyotangulia, kama ulivyosikia. Ikiwa kuna sababu ya Kishari´ah na haja ya Kishari´ah – nayo ni kushindwa kwake kulea na kutekeleza yanayolazimika kwa upande wa watoto kwa sababu ya wingi wao na mimba za kufuatana – basi hapana vibaya kuwepo kipindi kati yao, kama mwaka mmoja kwa mfano, mpaka apate nguvu ya kulea. Mwisho wake ni miaka miwili kipindi cha kunyonyesha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2192/استخدام-ما-يمنع-الحمل-لكثرة-الاولاد
Imechapishwa: 31/05/2026
https://firqatunnajia.com/mwisho-wa-mpango-wa-uzazi-kwa-asiye-na-udhuru/