Nilimwambia Ahmad:

”Unasemaje juu ya mtu ambaye amemjamii mkewe katika swawm ya kulipa deni la Ramadhaan?” Akasema: ”Huyu halazimiki kutoa kafara. Kafara inatokana na heshima ya Ramadhaan.”

Ishaaq amesema vivyo hivyo.

  • Muhusika: Imaam Ishaaq bin Mansuur al-Kawsaj al-Marwaziy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad bin Hanbal wa Ishaaq bin Raahuuyah (668)
  • Imechapishwa: 01/03/2025