Swali 232: Vipi kuhusu mtu anayelala na kuacha kuswali Fajr na hali hiyo ndiyo mazoea yake?

Jibu: Anakufuru. Hilo limesemwa na baadhi yao. Hiyo ni kwa yule aliyekufurisha kwa kuacha swalah ambapo hakuna shubuha yoyote. Hata hivyo wanazuoni wengi wanaona kuwa hakufuru na kwamba amefanya dhambi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 93
  • Imechapishwa: 03/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´