Baadhi ya wanachuoni wamesema mtu akiswali bila ya wudhuu´ kwa makusudi anatoka katika Uislamu. Ni mfanya mzaha. Hili ni tofauti na yule mwenye kusahau ambapo anatakiwa kurudi kuswali na hapati dhambi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/333)
  • Imechapishwa: 27/09/2024