Imaam at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
Hatusemi kuwa [Qur-aan] imeumbwa na wala hatwendi kinyume na mkusanyiko wa waislamu.
Mwenye kusema kuwa Qur-aan imeumbwa basi ameenda kinyume na mkusanyiko wa waislamu. Mkusanyiko ni Maswahabah, Taabi´uun na wale waliowafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/442)
- Imechapishwa: 19/05/2020
Imaam at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
Hatusemi kuwa [Qur-aan] imeumbwa na wala hatwendi kinyume na mkusanyiko wa waislamu.
Mwenye kusema kuwa Qur-aan imeumbwa basi ameenda kinyume na mkusanyiko wa waislamu. Mkusanyiko ni Maswahabah, Taabi´uun na wale waliowafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/442)
Imechapishwa: 19/05/2020
https://firqatunnajia.com/mwenye-kusema-qur-aan-imeumbwa-amewakhalifu-salaf/