Mwenye kukaa I´tikaaf kuhudhuria darsa za msikitini

Swali: Vipi mwenye kukaa I´tikaaf kuhudhuria kwenye darsa za elimu?

Jibu: Afanye jambo lenye manufaa zaidi kwa moyo wake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
  • Imechapishwa: 03/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´