Swali: Mtu ambaye anataka kulala hali yuko katika janaba asome Aayah al-Kursiy?
Jibu: Hapana, atasoma du´aa za kujikinga za Kishari´ah bila Aayah al-Kursiy, an-Naas, al-Falaq na al-Ikhlaasw. Ikiwa atapenda kufanya hivyo, basi aoge, kwani hilo ni bora zaidi kwake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31530/هل-يقرا-الجنب-اية-الكرسي-عند-النوم
- Imechapishwa: 01/11/2025
Swali: Mtu ambaye anataka kulala hali yuko katika janaba asome Aayah al-Kursiy?
Jibu: Hapana, atasoma du´aa za kujikinga za Kishari´ah bila Aayah al-Kursiy, an-Naas, al-Falaq na al-Ikhlaasw. Ikiwa atapenda kufanya hivyo, basi aoge, kwani hilo ni bora zaidi kwake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31530/هل-يقرا-الجنب-اية-الكرسي-عند-النوم
Imechapishwa: 01/11/2025
https://firqatunnajia.com/mwenye-janaba-kusoma-aayah-al-kursiy-kabla-ya-kulala/