Mwenye janaba kukaa msikitini akitawadha

Swali 157: Vipi kuhusu ambaye amemruhusu mwenye janaba kukaa msikitini akitawadha?

Jibu: Wameyasema hayo watu kadhaa. Hata hivyo kuacha kufanya hivo ndio bora zaidi.

158 – Je, hayo hayakupokelewa kutoka kwa Maswahabah?

Jibu: Inasemwa hivyo. Hata hivyo bora zaidi ni kushikamana na maandiko kwa ujumla, au inachukuliwa kuwa hawakujua.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 71
  • Imechapishwa: 28/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´