Swali: Je, inafaa kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha maiti?

Jibu: Hapana vibaya ikihitajika. Jambo hilo halina neno. Ameshakufa. Anamuosha maiti au mume wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23532/هل-يجوز-للمراة-الحاىض-تغسيل-الميت
  • Imechapishwa: 09/02/2024