Swali 385: Inafaa kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha maiti na kumkafini?
Jibu: Inajuzu kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha na kumkafini mwanamke. Inafaa pia kumuosha mwanaume ambaye ni mume wake pekee. Hedhi haizingatiwi kuwa ni kizuizi kumuosha maiti.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 153
- Imechapishwa: 21/09/2019
Swali 385: Inafaa kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha maiti na kumkafini?
Jibu: Inajuzu kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha na kumkafini mwanamke. Inafaa pia kumuosha mwanaume ambaye ni mume wake pekee. Hedhi haizingatiwi kuwa ni kizuizi kumuosha maiti.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 153
Imechapishwa: 21/09/2019
https://firqatunnajia.com/mwenye-hedhi-kumuosha-maiti/