Swali: Mwenye kukasirika mwanzoni mwa msiba kisha akafanya subira – je, analipwa kwa hilo?
Jibu: Ndio, analipwa kwa subira yake na anaweza kuadhibiwa kwa kukasirika kwake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2018
Swali: Mwenye kukasirika mwanzoni mwa msiba kisha akafanya subira – je, analipwa kwa hilo?
Jibu: Ndio, analipwa kwa subira yake na anaweza kuadhibiwa kwa kukasirika kwake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
Imechapishwa: 09/11/2018
https://firqatunnajia.com/mwanzoni-mwa-msiba-amekasirika-kisha-baadaye-akasubiri/