Mwanaume kumwangalia mwanamke wakati wa biashara

Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kumwangalia mwanamke wakati wa kuuza na kununua?

Jibu: Hapana, ainamishe macho yake na asiangalie. Isipokuwa akiwa ni kijakazi anataka kumnunua. Akiwa ni kijakazi anayetaka kumnunua hapana vibaya akatazama yale anayoyahitaji. Kuhusu biashara haifai; ni lazima kwa mwanamke huyo kujisitiri na ni lazima kwa mwanaume huyo kuinamisha macho chini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23870/حكم-نظر-الرجل-للمراة-في-البيع-والشراء
  • Imechapishwa: 26/05/2024