Mwanaume atakuwa na wake wangapi Peponi?

Swali: Je, kila muumini Peponi atakuwa na wanawake sabini na mbili au hili ni maalum kwa waliokufa ni mashahidi katika njia ya Allaah?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Watakuwa na wake Peponi. Kuhusu idadi ya ni wake wangapi, Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-6.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020