Swali 770: Ni ipi hukumu ya kumzingatia mwanamke ni miongoni mwa vyenye kurithiwa nyumbani kwa mume?
Jibu: Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) amemharamisha mwanamke kuwa miongoni mwa vyenye kurithiwa. Amesema (Ta´ala):
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَرِثُوا النِّسَاءَ كَرْهًا
“Enyi walioamini! Si halali kwenu kuwarithi wanawake kwa kuwakirihisha.”[1]
Amedhamini utuwake kuwa kipekee na akamfanya kuwa ni mrithi na si mwenye kurithiwa.
[1] 04:19
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 301
- Imechapishwa: 04/08/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket