Mwanamke mwenye hedhi kuingia msikitini

Swali: Je, ni sahihi kwa wanawake wenye hedhi kuingia msikitini?

Jibu: Sijui kitu chochote kinachokataza jambo hilo. Hadiyth inayosema:

“Siuhalalishi msikiti kwa mwanamke mwenye hedhi au wala mwenye janaba.”[1]

ni dhaifu.

[1] Abu Daawuud (232). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy i “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (6117).

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 598-599
  • Imechapishwa: 10/07/2025