Mwanamke mwenye damu ya ugonjwa atajizuilia kwa muda kiasi gani ikiwa hakuzowea kupata hedhi?

Swali: Mwanamke mwenye damu ya ugonjwa akiwa ni mwenye kupata ada yake hukaa kwa mujibu wa ada yake. Vipi atakaa pia ikiwa hana ada?

Jibu: Hukaa kwa muda wa siku sita au saba… kwa sababu ada ya wanawake kwa kawaida ni siku sita au saba. Hii ndio hali yao mara nyingi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24754/كم-تمكث-المستحاضة-اذا-لم-تكن-لها-عادة
  • Imechapishwa: 06/12/2024