Mwanamke mtalikiwa baada ya miaka ndio anakuja kujua uwajibu wa eda

Swali: Kuna mwanamke ametalikiwa na hakujua kuwa ni lazima kukaa eda. Baada ya mwaka mmoja ndio akaja kujua hili. Je, akae eda au imeisha?

Jibu: Hapana. Imeisha hata kama alikuwa hajui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017