Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kujipodoa wakati wa Swawm?

Jibu: Haina neno midhali vipodozi haviingii shingoni mwake au tumboni mwake. Vitu vinavyowekwa juu ya mwili vinajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015