Swali: Inajuzu kwa mwanamke ambaye ni mfamasia kufanya kazi peke yake na mwanaume?
Jibu: Hapana. Hii ni faragha na haijuzu. Mwanamke asikae faragha na mwanaume ambaye si Mahram wake mbali na mume wake. Haijuzu kwake kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2018
Swali: Inajuzu kwa mwanamke ambaye ni mfamasia kufanya kazi peke yake na mwanaume?
Jibu: Hapana. Hii ni faragha na haijuzu. Mwanamke asikae faragha na mwanaume ambaye si Mahram wake mbali na mume wake. Haijuzu kwake kufanya hivo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
Imechapishwa: 21/08/2018
https://firqatunnajia.com/mwanamke-mfamasia-anafanyakazi-na-mwanaume/