Mwanamke kwenda hajj kwa pesa ya kaka yake

Swali: Inajuzu kwa mwanamke kusafiri kwenda hajj kwa pesa ya kaka yake na mume wake amekubali safari yake?

Jibu: Ndio, inafaa kwake kusafiri kwa pesa ya kaka yake mume wake akikubali asafiri kwenda hajj.

Muulizaji: Imeshurutisha awe na Mahram?

Ibn ´Uthyamiyn: Ndio, ni lazima awe na Mahram.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (05) http://binothaimeen.net/content/6678
  • Imechapishwa: 05/10/2020