Swali: Kuna mwanamke ameswali na Hijaab inayofika kwenye mabega yake na suruwali. Je, swalah yake inasihi?
Jibu: Suruwali hapana. Suruwali inabainisha viungo vya mwili wake na inamfitinisha. Asiswali na suruwali wala haifai kwake kuvaa suruwali. Suruwali haimstahiki mwanamke. Kwa kuwa inafitinisha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13739
- Imechapishwa: 07/09/2020
Swali: Kuna mwanamke ameswali na Hijaab inayofika kwenye mabega yake na suruwali. Je, swalah yake inasihi?
Jibu: Suruwali hapana. Suruwali inabainisha viungo vya mwili wake na inamfitinisha. Asiswali na suruwali wala haifai kwake kuvaa suruwali. Suruwali haimstahiki mwanamke. Kwa kuwa inafitinisha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13739
Imechapishwa: 07/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kuswali-na-mtandio-wa-kufika-mabegani-na-suruwali-chini/