Mwanamke kupita mbele ya mswaliji kipofu

Swali: Ikiwa mswaliji ni kipofu anaguswa na jambo hili[1] akijua mwanamke amepita?

Jibu: Akijua, basi airude, na asipojua, hakuna kitu juu yake.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/swalah-ya-mwanamke-pindi-mwanamme-anapita-mbele-yake/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/90)
  • Imechapishwa: 17/10/2021