Mwanamke kukojoa kwa kusimama?

139 – Nilimuuliza Shaykh ni nini hukumu ya mwanamke kukojoa akiwa amesimama?

Jibu: Msingi ni kwamba inajuzu, lakini inapaswa kujisitiri. Hata hivyo ikiwa itapelekea kunajisika kwa miguu – na hii ndio hali ya kawaida – basi haitofaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 66
  • Imechapishwa: 26/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´