Mwanamke kukata nywele zake ndefu kupitiliza

621 – Nilimuuliza kuhusu mwanamke kukata nywele zake?

Jibu: Kwa haja, hakuna ubaya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 221
  • Imechapishwa: 13/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´