Swali: Maswahabah walikuwa wakijipaka manukato walipokuwa wakikwenda kuswali, jambo ambalo ni sababu miongoni mwa sababu za kusaidia kupata unyenyekevu. Je, inajuzu kwangu mimi mwanamke kujitia manukato ninaposwali nyumbani?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo ikiwa hakuna mwanaume asiye Mahram kwako.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/125)
- Imechapishwa: 02/03/2026
Swali: Maswahabah walikuwa wakijipaka manukato walipokuwa wakikwenda kuswali, jambo ambalo ni sababu miongoni mwa sababu za kusaidia kupata unyenyekevu. Je, inajuzu kwangu mimi mwanamke kujitia manukato ninaposwali nyumbani?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo ikiwa hakuna mwanaume asiye Mahram kwako.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/125)
Imechapishwa: 02/03/2026
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kujipaka-manukato-wakati-wa-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket