Mwanamke kuangalia uso wa mwanaume

810 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mwanamke kama inafaa kwake kuangalia uso wa mwanaume?

Jibu: Hapana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
  • Imechapishwa: 17/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´