Swali: Ni ipi hukumu kwa ambaye hamwachi mke wake atoke isipokuwa mara moja tu kwa wiki? Je, mwanaume huyo anazingatiwa kuwa anamdhulumu?

Jibu: Ikiwa hatomwacha kabisa atoke hakuna neno. Hili ni bora kwake. Lakini akihitajia kutoka atoke hali ya kuwa ni mwenye kujiheshimu. Hakuna kinachomkataza kutoka hali ya kuwa ni mwenye kujiheshimu wakati wa haja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020