Swali: Ni yepi yanayofaa kuhusu nywele kwa mwanamke aliyenuia kuchinja Udhhiyah kwa ajili yake na watu wa nyumbani au kwa ajili ya wazazi wake yanapoingia yale masiku kumi ya Dhul-Hijjah?
Jibu: Inafaa kwake kuchana nywele zake na kuzisafisha. Lakini asizibane. Haidhuru zile nywele zinazodondoka wakati wa kuzichana au kuzisafisha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/47)
- Imechapishwa: 07/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)