Mwanamke amepita mbele ya mswaliji Makkah

Swali 235: Vipi ikiwa mwanamke atapita mbele ya mwanaume anayeswali huko Makkah?

Jibu: Hata akipita, haidhuru. Salaf wana haki zaidi ya kufuatwa. Ibn-uz-Zubayr alikuwa akiswali bila Sutrah na watu walikuwa wakipita mbele yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
  • Imechapishwa: 03/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´