Mwanamke amepaka nywele zake rangi nyeusi ili ziweze kurudi

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke ambaye amepaka rangi nywele zake kuzipaka rangi nyeusi ili ziweze kurudi katika ile asili yake ya weusi?

Jibu: Asifanye hivo. Zenyewe tu zitarudi katika ile rangi yake ya asili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 02/04/2023