Maji ya zamzam yaliyochanganywa

Swali: Maji ya zamzam yakichanganywa na maji mengine yanazingatiwa kuwa yote ni maji ya zamzam?

Jibu: Yatazingatiwa kuwa ni maji ya zamzam kwa kaisi cha maji ya zamzam kilicowekwa ndani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 02/04/2023