Swali: Hajj ya mwaka huu nilivaa barakoa. Nilimuuliza kiongozi wa msafara juu ya hilo ambapo akasema kuwa hakuna neno. Niliporudi nikaambiwa kuwa haijuzu kuivaa. Je, kuna kinachonilazimu hivi sasa?

Jibu: Hakuna kinachokulazimu. Ulivaa barakoa kwenye mdomo kutokamana na vumbi na vyenginevyo. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017