Swali: Mwanamke muislamu anayeshuhudia ya kwamba hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah, lakini ana jamaa makafiri; baba na kaka. Je, ajisitiri mbele yao nao au hapana?
Jibu: Hapana, hajistiri mbele yao. Awalinganie kwa Allaah na asijisitiri mbele yao. Awaelekeze katika kheri. Sifa zote njema ni za Allaah aliyempa uongofu wa Uislamu. Amlinganie baba yake, kaka zake na jamaa zake, awanasihi na asijisitiri mbele yao.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31698/هل-تحتجب-المراة-المسلمة-عن-اهلها-الكفار
- Imechapishwa: 15/11/2025
Swali: Mwanamke muislamu anayeshuhudia ya kwamba hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah, lakini ana jamaa makafiri; baba na kaka. Je, ajisitiri mbele yao nao au hapana?
Jibu: Hapana, hajistiri mbele yao. Awalinganie kwa Allaah na asijisitiri mbele yao. Awaelekeze katika kheri. Sifa zote njema ni za Allaah aliyempa uongofu wa Uislamu. Amlinganie baba yake, kaka zake na jamaa zake, awanasihi na asijisitiri mbele yao.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31698/هل-تحتجب-المراة-المسلمة-عن-اهلها-الكفار
Imechapishwa: 15/11/2025
https://firqatunnajia.com/mwanamke-aliyesilimu-ajisitiri-mbele-ya-jamaa-zake-makafiri/