Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke akibakwa?

Jibu: Hapati dhambi yoyote. Haya yalitokea zama za ´Umar. ´Umar akapewa khabari hiyo na akauliza juu ya mwanamke huyo ambapo akajibiwa kuwa ni mwanamke mwema. Hivyo akawaamrisha familia yake wamtendee wema.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 256
  • Imechapishwa: 02/08/2025