Mwanafunzi kuomba vitabu vinavyogawiwa bure

Swali: Kuhusiana na suala la vitabu vinavyogawiwa. Je, hii inahesabiwa kuwa ni kuomba kunakosimangwa?

Jibu: Hapana, ikiwa vitabu vinagawiwa, basi anaweza kuomba sehemu yake kutoka kwa taasisi inayogawa, khaswa ikiwa ni mwanafunzi wa elimu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28826/حكم-سوال-طالب-العلم-الكتب-المعدة-للتوزيع
  • Imechapishwa: 27/04/2025