Swali: Je, Ibn Hajar na an-Nawawiy ni miongoni mwa Ash’ariyyah?
Jibu: Kutegemea kupindisha kwao maana. Kupindisha maana kunakaripiwa. Mtu akiona jambo hilo kwa mwanachuoni asimfuate. Kila mwanachuoni anayo makosa. Mwanafunzi anatakiwa kufuata haki na dalili. Asifuate makosa ya wanazuoni.
Swali: Baadhi ya watu wanaona kuwa ni sharti unapomtaja Ibn Hajar na an-Nawawiy basi unatakiwa kusema baadhi ya majina yao ”Ash´ariy” ili usije kuwapotosha watu. Ni upi usahihi wa jambo hili?
Jibu: Halina msingi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25224/ما-كيفية-التعامل-مع-بعض-اخطاء-العلماء-في-العقيدة
- Imechapishwa: 19/02/2025
Swali: Je, Ibn Hajar na an-Nawawiy ni miongoni mwa Ash’ariyyah?
Jibu: Kutegemea kupindisha kwao maana. Kupindisha maana kunakaripiwa. Mtu akiona jambo hilo kwa mwanachuoni asimfuate. Kila mwanachuoni anayo makosa. Mwanafunzi anatakiwa kufuata haki na dalili. Asifuate makosa ya wanazuoni.
Swali: Baadhi ya watu wanaona kuwa ni sharti unapomtaja Ibn Hajar na an-Nawawiy basi unatakiwa kusema baadhi ya majina yao ”Ash´ariy” ili usije kuwapotosha watu. Ni upi usahihi wa jambo hili?
Jibu: Halina msingi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25224/ما-كيفية-التعامل-مع-بعض-اخطاء-العلماء-في-العقيدة
Imechapishwa: 19/02/2025
https://firqatunnajia.com/mwanafunzi-anafuata-haki/