Swali: Mwenye kualikwa katika nyumba na akakuta picha au mbwa inafaa kwake kukataa kuingia?

Jibu: Hapana, awape nasaha kwanza.

Swali: Wakikataa?

Jibu: Wakikataa akatae. Kwa minajili ya kuwasusa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22033/حكم-من-دعي-لمنزل-فوجد-به-صورا-او-كلبا
  • Imechapishwa: 15/10/2022