Swali: Vipi mzima kumfanyisha Tayammum ambaye ni mgonjwa?
Jibu: Ni lazima atie nia. Ni lazima mgonjwa anuie kama ambavo anamtawadhisha kwa maji. Mgonjwa anuie Tayammum na muuguzi ampanguse uso na mikono yake kwa udongo.
Swali: Baadhi yao wanamfanyisha Tayammum mgonjwa pasi na kuwaambia?
Jibu: Haisihi. Ni lazima atie nia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24135وجوب-النية-اذا-يمم-الصحيح-المريض
- Imechapishwa: 06/09/2024
Swali: Vipi mzima kumfanyisha Tayammum ambaye ni mgonjwa?
Jibu: Ni lazima atie nia. Ni lazima mgonjwa anuie kama ambavo anamtawadhisha kwa maji. Mgonjwa anuie Tayammum na muuguzi ampanguse uso na mikono yake kwa udongo.
Swali: Baadhi yao wanamfanyisha Tayammum mgonjwa pasi na kuwaambia?
Jibu: Haisihi. Ni lazima atie nia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24135وجوب-النية-اذا-يمم-الصحيح-المريض
Imechapishwa: 06/09/2024
https://firqatunnajia.com/muuguzi-kumfanyisha-tayammum-mgonjwa/