Swali: ad-Daaraqutwniy amesema kwamba lau si al-Bukhaariy basi Muslim asingekuja au kuondoka?

Jibu: Kuna ongezaji chumvi (Rahimahu Allaah). Muslim ni imamu mkubwa, lakini kupitia kwa al-Bukhaariy, akafaidika kutoka kwake na akasoma chini yake. Kwa hivyo ad-Daaraqutwniy ameongeza chumvi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25164/معنى-قول-الدارقطني-لولا-البخاري-ما-جاء-مسلم-ولا-راح
  • Imechapishwa: 08/02/2025