Swali: Wakati mwanamke mwenye kuhiji alipokuwa ´Arafah alijiwa na khabari kwamba mume wake kafariki. Ni kipi anachotakiwa kufanya?
Jibu: Anatakiwa kukamilisha hajj yake. Aidha anatakiwa kujiepusha na vitu vyenye harufu, mapambo na vitu vyengine vyote vinavyofungamana na hukumu za eda. Pindi ataporudi katika mji wake atatakiwa kukaa katika nyumba ileile alipokufia mume wake. Ataikamilisha eda yake nyumbani.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 12/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket