Swali: Je, mume ana haki ya kumzuia mke wake kuwatembelea familia yake yeye mke au familia yake mume?
Jibu: Kuna maelezo juu ya hili: [Ndio] ikiwa kuna madhara ndani yake. Vinginevyo hana haki ya kufanya hivyo. Ikiwa kuna madhara ndani yake, kwa mfano hawana kheri yoyote au wanamuharibia ndoa yake. Katika hali hiyo hapana vibaya. Hata hivo kiwa hakuna chochote kibaya nayo, basi asimzuie. Je, anamuamuru kukata mahusiano ya kifamilia na kuwaasi wazazi wake?!
Swali: Vipi ikiwa kuna maovu yaliyoenea miongoni mwa familia yake?
Jibu: Hata kama. Awatembelee na asishuhudie maovu hayo. Amshauri asishuhudie maovu hayo na wala asiwaache wazazi wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28999/هل-يحق-للزوج-منع-زوجته-من-زيارة-الاهل
- Imechapishwa: 15/05/2025
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket