Swali 552: Je, mume anayemkubalia mke kujivua anayo haki ya kuchukua zaidi ya mahari?

Jibu: Kuna tofauti ya maoni, lakini maoni yaliyo karibu zaidi ni kuwa hairuhusiwi ikiwa kosa ni kutoka kwake yeye.

Swali 553: Nilimuuliza tena kama mume anayo haki ya kumkubalia mke anayejivua kuchukua zaidi ya mahari?

Jibu: Sahihi ni kuwa inajuzu, lakini lililo bora ni kuacha kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 189
  • Imechapishwa: 11/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´