321 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kubeba jeneza la kafiri.

Jibu: Ikiwa ni kwa haja – kama kuwapunguzia watu taabu – kama katika Hadiyth ya kumzika Abu Twaalib ambapo ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) alimzika, basi hapana shida. Lakini kubeba kwa ajili ya kumtukuza, haifai.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 112