440 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu anayefanya Ihraam endapo maziwa yatamiminika usoni mwake ayapanguze kwa mkono wake?
Jibu: Hakuna tatizo. Hakuna chochote ndani yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 142
- Imechapishwa: 29/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
440 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu anayefanya Ihraam endapo maziwa yatamiminika usoni mwake ayapanguze kwa mkono wake?
Jibu: Hakuna tatizo. Hakuna chochote ndani yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 142
Imechapishwa: 29/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/muhrim-kujipangusa-maziwa-usoni-mwake/