Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alizungumza na Mola Wake?
Jibu: Mola Wake alizungumza naye usiku safari ya mbinguni. Hata hivyo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumuona. Lakini kuhusu Muusa (´alayhis-Salaam), Allaah alizungumza naye. Ni mwenye kutofautiana na Mitume wengine kwa hili:
وَكَلَّمَ اللَّـهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
“Na bila shaka Allaah alimsemesha Muusa maneno.” (04:164)
Muusa (´alayhis-Swalaatu was-Salaam) ndiye mtu aliyezungumza na Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–02041434.mp3
- Imechapishwa: 27/06/2015
Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alizungumza na Mola Wake?
Jibu: Mola Wake alizungumza naye usiku safari ya mbinguni. Hata hivyo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumuona. Lakini kuhusu Muusa (´alayhis-Salaam), Allaah alizungumza naye. Ni mwenye kutofautiana na Mitume wengine kwa hili:
وَكَلَّمَ اللَّـهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
“Na bila shaka Allaah alimsemesha Muusa maneno.” (04:164)
Muusa (´alayhis-Swalaatu was-Salaam) ndiye mtu aliyezungumza na Allaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–02041434.mp3
Imechapishwa: 27/06/2015
https://firqatunnajia.com/muhammad-alizungumza-na-allaah/