Swali: Mufawwidhwah ni bora kuliko Mu´awwilah pamoja na kujua kwamba yote mawili ni madhehebu batili?
Jibu: Yote mawili ni batili. Lakini hata hivyo wanachuoni wanasema kuwa Mufawwidhwah ni waovu zaidi kuliko Mu´awwilah. Kwa sababu wamemfanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah na wengine wote kuwa ni wajinga.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
- Imechapishwa: 01/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket