Swali: Baadhi ya waadhini huinua sauti katika vipaza sauti wakisema kwamba wanataka sauti zao zifike mbali zaidi kwa ajili ya thawabu. Je, hili limewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Msingi ni kuinua sauti kama alivyosimulia Abu Sa´iyd:
“Hakika mimi naona unapenda wanyama hoa na mashamba. Unapokuwa na kondoo wako au shambani mwako na ukaadhini kwa ajili ya swalah, basi nyanyua sauti yako wakati wa kuita. Kwa sababu hakuna jini, mtu au kitu kingine kinachosikia sauti ya muadhini ispokuwa kitamtolea ushuhuda siku ya Qiyaamah. Nimeyasikia hayo kutoka kwa Allaah wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”[1]
Swali: Je, haielekei kwamba Hadiyth hii ni maalum kwa sauti halisi bila kutumia kipaza sauti, kwa kuwa kupitia kipaza sauti muadhini hatumii juhudi ya kuinua sauti yake, bali anaweza kutoa adhaana kwa sauti ya chini lakini sauti ikasikika kupitia kipaza sauti?
Jibu: Fadhilah za Allaah ni pana.
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (232).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31231/حكم-رفع-صوت-الاذان-في-مكبرات-الصوت
- Imechapishwa: 16/10/2025
Swali: Baadhi ya waadhini huinua sauti katika vipaza sauti wakisema kwamba wanataka sauti zao zifike mbali zaidi kwa ajili ya thawabu. Je, hili limewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Msingi ni kuinua sauti kama alivyosimulia Abu Sa´iyd:
“Hakika mimi naona unapenda wanyama hoa na mashamba. Unapokuwa na kondoo wako au shambani mwako na ukaadhini kwa ajili ya swalah, basi nyanyua sauti yako wakati wa kuita. Kwa sababu hakuna jini, mtu au kitu kingine kinachosikia sauti ya muadhini ispokuwa kitamtolea ushuhuda siku ya Qiyaamah. Nimeyasikia hayo kutoka kwa Allaah wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”[1]
Swali: Je, haielekei kwamba Hadiyth hii ni maalum kwa sauti halisi bila kutumia kipaza sauti, kwa kuwa kupitia kipaza sauti muadhini hatumii juhudi ya kuinua sauti yake, bali anaweza kutoa adhaana kwa sauti ya chini lakini sauti ikasikika kupitia kipaza sauti?
Jibu: Fadhilah za Allaah ni pana.
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (232).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31231/حكم-رفع-صوت-الاذان-في-مكبرات-الصوت
Imechapishwa: 16/10/2025
https://firqatunnajia.com/muadhini-ananyanyua-sauti-yake-kwenye-kipaza-sauti/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket